• MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
Itilima District Council
Itilima District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Sisi ni nani?
    • Dira na Dhamira
    • Taarifa ya Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango
      • Afya
      • Mifugo
      • Kilimo
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi
      • Sheria
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
    • Muundo
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Ujenzi
    • Leseni za Biashara
    • Umilikaji wa Ardhi
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba Video
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi inayofadhiliwa na Wahisani
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea na Ujenzi
    • Maandiko ya Miradi
  • Zabuni
  • Uwekezaji
  • FFARS LINK

MWALIMU TIMIZA WAJIBU WAKO WA MSINGI KWA AJILI YA NCHI YAKO, WAZAZI WA TANZANIA NA WATOTO KUZIFIKIA NDOTO ZAO

Posted on: June 20th, 2024

Kaimu Mkurugenzi wa Elimu kutoka Tamisemi Ndg. Vicent  Kayombo akiwasilisha maelekezo ya Mkurugenzi Mkuu wa Elimu Tamisemi kwa Viongozi wanao Simamia Sekta ya Elimu Itilima na na kwa walimu wote Wa Itilima


"Mwalimu ukitimiza Wajibu wako  na Mwanafunzi akafaulu, Mzazi hufurahi na kukupongeza  na kuipongeza Serikali na hata Mtoto anapopata matokeo mabaya Mzazi hulaani na kuchukia Serikali"

Hiyo nikauli iliyotokewa Ndg. Vincent Kayombo akimuwakilisha Mkurugenzi  wa Elimu Tamisemi katika ziara ya kuongea na Walimu wa Itilima.

Walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima wakifuatilia Hotuba ya Kaimu Mkurugenzi wa Elimu Tamisemi, haionekani katika Picha.

Ndg. Kayombo. Alisema yakuwa Serikali imeamua kwa dhati kushughurikia Changamoto zote za Walimu ikiwemo Madalaja, Malimbikizo na madeni ya likizo na Walimu wameanza kulipwa kwa awamu.

Aidha mwakilishi huyo wa Mkurugenzi wa Elimu Tamisemi aliwataka Walimu nao kutimiza majukumu Yao ya Ulezi wa Watoto kimaadili na Kitaaluma.

Haiingii akilini Mwalimu uliye ajiliwa na Serikali kwa Taaluma Yako uliyo isomea, inakuaje watoto unao wafundisha wanapata UFAULU wa 0 na kusababisha Wazazi kuichumia Serikali? Hali yakuwa unapata Mshahara Kila Mwisho wa Mwezi, jamani hii siyo haki alisisitiza  Mwl. Kayombo.

Maafisa Elimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima waksikiliza kwa makini maelekezo ya Mkurugenzi wa Elimu Tamisemi


JAMANI tujitafakari na tuanze upya  kutimiza jukumu hili mlioaminiwa nalo na Serikali la kutengeneza vijana wa Tanzania ili nao kwa maarifa mliyo wapatia waje kuijenga nchi yao.

Sanjali na hayo Ndg.Kayombo alitoa maelekezo ya Mkurugenzi wa Elimu Tamisemi

Ambayo yaliwataka Walimu wakuu na wakuu wa Shule kuhakikisha Walimu nao wanapata chakula cha Mchana Shuleni ili aweze kutimiza majukumu Yao ya Siku kwa ukamilifu.

Maafisa Elimu wa Kata za Halmashauri ya Itilima wakifuatilia Hotuba ya Kaimu Mkurugenzi wa Elimu Kutoka Tamisemi, hayupo katika Picha.


Pia, Maafisa Elimu wa Kata wameagizwa kutekeleza mabaraza ya Shule Watoto watoe maoni yao ikiwa pamoja na kuainisha  unyanyasaji wote unaofanyika Shuleni.

Vilevile watoto waandaliwe Mazingira ili wachague wenyewe Mwalimu Mnasihi ili watoto wawe huru kuwasilisha Changamoto zao Kwa Mwalimu husika.

Afisa ELIMU Mkoa wa Simiyu Ndg. Khalifa Shemahonge aliongea na Walimu wa Itilima na kuwaasa kutimiza Wajibu wao wa kimalezi na Taaluma kwa Watoto ili tija ionekane


Kwa upande wa Afisa ELIMU Mkoa wa Simiyu Ndg. Khalifa Shemahonge Alisema

"Tumetubu na tunaanza upya na ikumbukwe Kazi ya Utoaji wa Elimu ni Kazi ambayo Mwenyezi Mungu aliikasimisha kwa Mitume na Ndiyo maana Yesu alikuwa na Wanafunzi wake na Mtume Muhammad alikuwa na Maswahaba wake.Na Wanafunzi wote hawa baada ya kuelimika ndiyo walitekeleza malengo ya Mwenyezi Mungu kwa Binadamu 

kwa hiyo tunaposhindwa kuitendea haki hii Kazi, Mjue kabisa Tunamkosea Mungu, tunaikwamisha Nchi, tunawaathiri Watoto na Wazazi na kwa dhambi hii lazima tutalipia.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA WILAYANI ITILIMA October 30, 2021
  • Tangazo Kwa Watumishi Wapya Wanao endelea kuwasili Wilayani Itilima July 03, 2022
  • "Tutaukaribisha Mwenge wa Uhuru Wilayani Itilima tarehe 9/7/2022 tutaupokea katika Viwanja vya Ushirika, Nyamalapa na mkesha utakuwa katika viwanja vya Halmashuri ya Wilaya ya Itilima Wananchi wote, Wafanyakazi tuungane katika makaribis July 07, 2022
  • "Tutaukaribisha Mwenge wa Uhuru Wilayani Itilima tarehe 9/7/2022 tutaupokea katika Viwanja vya Ushirika, Nyamalapa na mkesha utakuwa katika viwanja vya Halmashuri ya Wilaya ya Itilima Wananchi wote, tuungane katika kuukaribisha Mwenge July 06, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • TUME YA TAIFA YA MPANGO WA MATUMIZI YA ARDHI YAPIMA NA KUKABIZI HATI ZA VIJIJI 25 VILIVYOPO KANDO YA POLI LA AKIBA LA MASWA

    June 30, 2024
  • BARAZA LA ARDHI ITILIMA SASA RASMI BAADA YA KUAPISHWA KWA WAJUMBE WA BARAZA

    June 26, 2024
  • KUNA MAISHA BAADA YA UTUMISHI WA UMMA

    June 20, 2024
  • MWALIMU TIMIZA WAJIBU WAKO WA MSINGI KWA AJILI YA NCHI YAKO, WAZAZI WA TANZANIA NA WATOTO KUZIFIKIA NDOTO ZAO

    June 20, 2024
  • Angalia Zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LA MADIWANI LA WILAYAYA ITILIMA LAUFUNGA MWAKA WA FEDHA WA 2020 - 2021
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Business License
  • Procedure for Provision of Buliding Permit
  • https://www.nbs.go.tz/index.php/en/census-surveys/population-and-housing-census/802-sensa-ya-watu-na-makazi-ya-mwaka-2022
  • Land Ownership

Tovuti Mashuhuri

  • Simiyu Regional Commissioner's Office
  • President's Official Website
  • Local Government Revenue Collections Dashboard
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Salary Slip Self Service
  • FFARS LINK
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    DED - ITILIMA

    Sanduku la Posta: 308 BARIADI

    Simu: +255 28 29 863 29

    Simu: 028 29 863 28

    Barua Pepe: info@itilimadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki ©2016 Kitengo cha TEHAMA. Haki Zote Zimehifadhiwa