• MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
Itilima District Council
Itilima District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Sisi ni nani?
    • Dira na Dhamira
    • Taarifa ya Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango
      • Afya
      • Mifugo
      • Kilimo
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi
      • Sheria
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
    • Muundo
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Ujenzi
    • Leseni za Biashara
    • Umilikaji wa Ardhi
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba Video
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi inayofadhiliwa na Wahisani
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea na Ujenzi
    • Maandiko ya Miradi
  • Zabuni
  • Uwekezaji
  • FFARS LINK

Maji

 IDARA YA  MAJI.

Idara ya Maji  ipo kwa mujibu wa muundo wa Utumishi. Idara  ina vitengo vikuu vitatu.

• Kitengo cha mipango na usanifu

• Kitengo cha  ujenzi

Kitengo cha uendeshaji wa miradi ya maji na matengezo vinavyotambuliwa kisheria.

 Malengo/Majukumu ya Idara ya Maji

  Kuandaa bajeti ya kutekeleza miradi ya maji na kusimamia utekelezaji wa miradi hiyo

  Kutoa huduma ya maji safi na salama kwa wakazi wa Manispaa wasiopata huduma  ya maji kutoka kwa mamlaka ya DAWASA na Kampuni ya DAWASCO.

Ø  Kutoa huduma ya uzoaji maji taka kwenye sehemu ambayo magari makubwa ya kuzoa maji taka hayafiki kwa kutumia pikipiki yenye miguu mitatu na pampu maalumu ya kuvuta maji taka.Kutoa mafunzo, kusimamia mchakato wa kuunda vyombo vya kusimamia na kuendesha miradi ya maji pamoja na kuvisajili, kwa

Ø  mujibu na taratibu wa  Sheria ya Maji ya 2009.

Ø  na kuendesha miradi ya maji kutunza fedha za matengezo na kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha za mfuko.

Ø  Japo kwa kiwango kidogo, kuweza kuchangia kukusanya mapato ya Halmashauri kupitia ukusanyaji wa fedha zinazotokana na upimaji wa maji katika maabara ya Idara ya Maji na ukataji wa vibali kwa wachimbaji wa visima wanaofanya kazi ndani ya Manispaa yetu.

Ø  Kupunguza na kuzuia  milipuko ya magonjwa yanayosababishwa na ukosefu wa maji safi na salama

Ø  Kusimamia vyema miradi inayofanya kazi kwa kusisitiza vyombo vya kusimamia

Vitengo  vinaunda sehemu kumi na moja katika Idara. Idara ya Maji ina jukumu kubwa la kutoa huduma ya maji  kwa wakazi wa Manispaa ya Ilala. Pamoja na jukumu la kutoa huduma ya maji  Idara inahusika na kupanga na kusanifu miradi ya maji, kupitia usanifu wa miradi ya maji unaofanywa na wataalam wa nje, kusimamia ujenzi na uendeshaji wa miradi ya maji pamoja na kukarabati miradi ya maji yenye hitilafu. Idara pia inahusika na kuunda na kusimamia vyombo vya watumiaji maji  

Matangazo

  • ITILIMA YAPOKEA KIASI CHA SH. BILIONI 3.117 KUTOKA SERIKALI KUU KATIKA KIPINDI CHA JULAI - OKTOBA 2021 KWA AJILI SHUGHULI ZA MAENDELEO October 23, 2021
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA WILAYANI ITILIMA October 30, 2021
  • MPANGO NA BAJETI ULIOIDHINISHWA KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021 KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA ITILIMA November 13, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA WILAYA YA ITILIMA December 16, 2020
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • ITILIMA IMEPOKEA BILIONI 46.3 UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO , MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA

    March 29, 2022
  • ITILIMA YAPONGEZWA KUTAMBUA MCHANGO WA WALIMU, VONGOZI, WADAU KATIKA KUKUZA ELIMU

    March 11, 2022
  • ITILIMA MMEMTHIBITISHIA KWA VITENDO MHE. RAIS, HAKUTAKUWA NA CHAGUO LA PILI KWA WATOTO WA KIDATO CHA KWANZA, MHE. DUGANGE

    December 22, 2021
  • MBUNGE WA JIMBO LA ITILIMA AKABIDHI MKOPO WA PIKIPIKI TANO KWA KIKUNDI CHA VIJANA WA BODABODA CHA NDING'HO

    December 17, 2021
  • Angalia Zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LA MADIWANI LA WILAYAYA ITILIMA LAUFUNGA MWAKA WA FEDHA WA 2020 - 2021
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Business License
  • Procedure for Provision of Buliding Permit
  • Land Ownership

Tovuti Mashuhuri

  • Simiyu Regional Commissioner's Office
  • President's Official Website
  • Local Government Revenue Collections Dashboard
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Salary Slip Self Service
  • FFARS LINK
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    DED - ITILIMA

    Sanduku la Posta: 308 BARIADI

    Simu: +255 28 29 863 29

    Simu: 028 29 863 28

    Barua Pepe: info@itilimadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki ©2016 Kitengo cha TEHAMA. Haki Zote Zimehifadhiwa