• MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
Itilima District Council
Itilima District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Sisi ni nani?
    • Dira na Dhamira
    • Taarifa ya Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango
      • Afya
      • Mifugo
      • Kilimo
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi
      • Sheria
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
    • Muundo
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Ujenzi
    • Leseni za Biashara
    • Umilikaji wa Ardhi
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba Video
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi inayofadhiliwa na Wahisani
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea na Ujenzi
    • Maandiko ya Miradi
  • Zabuni
  • Uwekezaji
  • FFARS LINK

MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MIAKA 20 YA KIFO CHA BABA WA TAIFA WILAYANI ITILIMA

Monday 23rd, May 2022
@



Mkuu wa Wilaaya ya Itilima  Mhe. Benson Kilangi, katikati mwenye jaketi la Bluu akiwa kwenye picha ya pamoja  na timu ya Madiwani wenye jezi ya njano na kijani na timu ya watumishi wenye jezi nyekundu

Maadhimisho ya Kumbukizi ya miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere yalihitimishwa wilayani Itilima na mechi Kali baina ya Madiwani wa Halmashauri (W) Itilima na Watumishi wa Halmashauri hiyo.

Mtanange huo uliyofanyika katika Viwanja vya shule ya Msingi Lagangabilili ulimalizika kwa timu ya Madiwani Kubugizwa magoli 2-1.

Kipindi cha kwanza cha Mtanange huo kilimalizika kwa Kikosi cha Watumishi kuongoza kwa goli moja kwa nunge ambapo timu ya Madiwani ilijifunga baada ya kutokea piga nikupige katika lango la timu ya madiwani iliyokuwa ikiongozwa na Nahodha wao Mbunge wa Jimbo la Itilima Mhe. Njalu D. Silanga.

Goli la pili lilipatikana katika kipindi cha pili na liliwekwa kimiani na Mweka hazina wa halmashauri hiyo ndugu salmin ambaye aliichachafya vikali ngome ya timu ya Waheshimiwa Madiwani.

Bao la kufutia Machozi la kikosi cha Waheshimiwa Madiwani Liliwekwa Kimiani kwa Mkwaju wa Penati na Mshambuliaji Machachali Mhe. Robert Jongela baada ya beki wa timu ya Watumishi kumchezea ndivyo sivyo Mshamuliaji hatari wa Madiwani, ambaye ni Mwenyekiti wa Halmashauri, Mhe. Daudi Nyalamo na Mwamuzi wa Mchezo huo kuamua Ipigwe penati.

Mpaka mwisho wa Mchezo huo timu ya Watumishi ilifanikiwa kuondoka na alama zote tatu na magoli mawili.

Kwa upande wa Mpira wa pete, ulizikutanisha timu ya Wanawake ya Watumishi na Madiwani Wanawake na Mchezo kumalizika kwa timu ya Watumishi kuchakazwa kwa Alama 5-1.

Mechi zote mbili zilishuhudiwa na Mkuu wa Wilaya ya Itilima Mhe. Benson Kilangi na Mkurugenzi wa Halmashauri (W)Itilima Bi. Elizabeth Gimbo.


Matangazo

  • ITILIMA YAPOKEA KIASI CHA SH. BILIONI 3.117 KUTOKA SERIKALI KUU KATIKA KIPINDI CHA JULAI - OKTOBA 2021 KWA AJILI SHUGHULI ZA MAENDELEO October 23, 2021
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA WILAYANI ITILIMA October 30, 2021
  • MPANGO NA BAJETI ULIOIDHINISHWA KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021 KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA ITILIMA November 13, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA WILAYA YA ITILIMA December 16, 2020
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • ITILIMA IMEPOKEA BILIONI 46.3 UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO , MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA

    March 29, 2022
  • ITILIMA YAPONGEZWA KUTAMBUA MCHANGO WA WALIMU, VONGOZI, WADAU KATIKA KUKUZA ELIMU

    March 11, 2022
  • ITILIMA MMEMTHIBITISHIA KWA VITENDO MHE. RAIS, HAKUTAKUWA NA CHAGUO LA PILI KWA WATOTO WA KIDATO CHA KWANZA, MHE. DUGANGE

    December 22, 2021
  • MBUNGE WA JIMBO LA ITILIMA AKABIDHI MKOPO WA PIKIPIKI TANO KWA KIKUNDI CHA VIJANA WA BODABODA CHA NDING'HO

    December 17, 2021
  • Angalia Zote

Video

BARAZA LA MADIWANI LA MADIWANI LA WILAYAYA ITILIMA LAUFUNGA MWAKA WA FEDHA WA 2020 - 2021
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Business License
  • Procedure for Provision of Buliding Permit
  • Land Ownership

Tovuti Mashuhuri

  • Simiyu Regional Commissioner's Office
  • President's Official Website
  • Local Government Revenue Collections Dashboard
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Salary Slip Self Service
  • FFARS LINK
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    DED - ITILIMA

    Sanduku la Posta: 308 BARIADI

    Simu: +255 28 29 863 29

    Simu: 028 29 863 28

    Barua Pepe: info@itilimadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki ©2016 Kitengo cha TEHAMA. Haki Zote Zimehifadhiwa