• MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
Itilima District Council
Itilima District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Sisi ni nani?
    • Dira na Dhamira
    • Taarifa ya Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Rasilimali watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango
      • Afya
      • Mifugo
      • Kilimo
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi
      • Sheria
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
    • Muundo
  • Huduma Zetu
    • Vibali vya Ujenzi
    • Leseni za Biashara
    • Umilikaji wa Ardhi
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba Video
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi inayofadhiliwa na Wahisani
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea na Ujenzi
    • Maandiko ya Miradi
  • Zabuni
  • Uwekezaji
  • FFARS LINK

HAKIKISHENI MNAWAPELEKA WATOTO KUPATA CHANJO YA SURUA NA RUBELLA : MHE. KILANGI

Posted on: October 17th, 2019




HAKIKISHENI MNAWAPELEKA WATOTO WENU KUPATA CHANJO YA SURUA NA RUBELLA: MHE. KILANGI

Mkuu wa wilaya ya Itilima Mhe. Benson Kilangi Leo amezindua Kampeni ya Siku tano ya chanjo ya Surua na Rubella katika viwanja vya Zahanati ya Lagangabilili wilayani Itilima.

Akizindua Kampeni hiyo kwa niyaba ya Mkuu wa Wilaya ya Itilima, Katibu tawala (W) Itilima Mhe. Filbert Kanyilizu alisema

"Itilima inakusudia kuwapatia chanjo ya Surua na Lubella watoto wapao 88,555 wenye umri wa miezi 9 mpaka miezi 59 na chanjo ya Polio kwa watoto wenye umri wa Mwaka Mmoja na nusu mpaka miaka mitatu na nusu"

Vilevile Katibu tawala huyo aliwaasa Wananchi hao kuto puuza zoezi hilo la chanjo kwani husaidia watoto kuepukana na Udumavu wa afya ya akili na mwili.

Akiongea na wananchi waliyoudhuria katika uzinduzi wa kampeni hiyo ya chanjo ya Surua na Rubella Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) Itilima Bi. Elizabeth Gumbo alisema.


"Wakina Mama wenzangu hakikisheni mnawapeleka watoto wenu katika vituo vya kutolea huduma ya afya kupata chanjo hii na mpeleke elimu hii kwa majirani zenu ili nao watoto wao wapate huduma hii kwani bila kufanya hivyo hatutaweza kuzuia mlipuko wa maambukizi katika maeneo yetu"


Aidha Bi. Gumbo aliwaasa wananchi kuachana na fikra potofu ya kwamba chanjo hiyo itawaletea athari watoto wao hususani katika afya ya uzazi au kusababisha kifo kwa watoto wao.


Kampeni hii ya chanjo Surua na Rubella imezinduliwa rasmi leo na Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na zoezi hili litafanyika Mikoa yote ya Tanzania bara na kuhitimishwa rasmi tarehe Oktoba 21, 2019.









 Reply

 Forward










Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 WILAYA YA ITILIMA December 18, 2020
  • MPANGO NA BAJETI ULIOIDHINISHWA KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021 KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA ITILIMA November 13, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA WILAYA YA ITILIMA December 16, 2020
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Nchi nzima October 24, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA WILAYA YA ITILIMA

    November 21, 2020
  • WORLD VISION YAUNGA MKONO MAPAMBANO DHIDI YA MALARIA KWA KUGAWA VYANDARUWA 6,160 ITILIMA

    September 09, 2020
  • ITILIMA KUJIIMARISHA KIUCHUMI KUPITIA "SAMAKI"

    August 25, 2020
  • BARAZA LA MADIWANI ITILIMA LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 28.5 KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021

    February 14, 2020
  • Angalia Zote

Video

Ujenzi Wa Miundombinu Ya Maji Itilima
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Business License
  • Procedure for Provision of Buliding Permit
  • Land Ownership

Tovuti Mashuhuri

  • Simiyu Regional Commissioner's Office
  • President's Official Website
  • Local Government Revenue Collections Dashboard
  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Salary Slip Self Service
  • FFARS LINK
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    DED - ITILIMA

    Sanduku la Posta: 308 BARIADI

    Simu: +255 28 29 863 29

    Simu: 028 29 863 28

    Barua Pepe: info@itilimadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki ©2016 Kitengo cha TEHAMA. Haki Zote Zimehifadhiwa